Pauls conclusion Pt.4 The Glorious cross

Sermon  •  Submitted   •  Presented
0 ratings
· 6 views
Notes
Transcript

Galatians 6:14c.

Leo asabuhi tunaendelea na masomo yetu kwa kitabu cha Wagalatia na tumefika 6:14. Kwa kitabu hiki Pualo ametuonyesha mambo mingi sana na kwa wiki tatu tumeona hitimisho yake. Kwa vs.11 tumeona alitaka wakristo wagalatia kujua ni yeye mwenyewe anaandika vitu hivi. halafu vs.12 tunaona anarudi kwa wale walimu wa uongo kuongea kuhusu waoga wao, na wanaogopa msalaba wa Yesu Kristo kwa sababu wanajua imetimiza sheria zote na wsokovu inakuja kwa njia ya neema ya Yesu na kuweka imani yetu katika yeye si matendo yetu. na alsiema kwa vs.13 hata hawa hawashiki sheria, ni watu ambao wanataka watu kufuata hawa si Yesu. Halafu wiki ilioptia tuliona Paulo kusema hawezi kujisifu kwa sababu ya vitu amabavyo yeye ametenda lakini atajisifu katika jambo moja tu na hii ni msalaba wa Yesu kristo. Tuliangalia hii sana. Niliuliza ninyi kufikiria sana mwisho ya hii mstari Wakati Paulo alisema kwa huo ulimwengu umesulibishwa kwangu, na mimi kwa ulimwengu. Natumaini sana umeenda nyumbani na umefikiria hii kwa sababu iko na maana mingi sana.
Kumaliza kitabu hiki kwangu nilitaka kutuonyesha sababu tatu za sisi kujisifu tu katika msalaba wa Kristo.
Related Media
See more
Related Sermons
See more