He knew all Men John 2:23-25
Sermon • Submitted • Presented
0 ratings
· 10 viewsNotes
Transcript
Leo asabuhi tunaendelea na maosmo yetu kwa kitabu cha Yohana na tumefika 2:23-25. Wiki iliopita tuliona Yesu alitoa heaklu kama Wayahudi walijua na alisema yeye mwenyewe ni hekalu ya Mungu na hata tuliona kila mtu ambaye ni moja wake Mungu anaishi ndani yetu na sisi tunakuwa hekalu ya Mungu. Tuliona hatari ya siku zetu kuambudu mawe na mbao na chuma. Kusema ukweli siku zetu nyumba ya kanisa limekuwa sanamu kwa watu wingi, wanaabudu hii mahali kuliko Mungu mwenyewe, kama walifanya siku za Yesu. Leo tumefika mwisho ya mlango ya pili ya kitabu cha Yohana na Yohana anaendelea kutuonyesha leango yake ya watu kuamini Yesu alikuwa Kristo na kuamini mwe na uzima katika jina lake.
Tusome mistari yetu Yohana 2:23-25 Hata alipokuwapo Yerusalemu kwenye sikukuu wakati wa Pasaka, watu wengi waliamini jina lake, walipoziona ishara zake alizozifanya. Lakini Yesu hakujiaminisha kwao; kwa kuwa yeye aliwajua wote; na kwa sababu hakuwa na haja ya mtu kushuhudia habari za mwanadamu; kwa maana yeye mwenyewe alijua yaliyomo ndani ya mwanadamu.
Tuombe:
Kumbuka Yesu na wanafunzi wake walikuwa Yerusalemu kwa sababu walikuja kwa sherehe ya Pasaka.
