Saved Through Him or Condemned Already John 3:17-18
Sermon • Submitted • Presented
0 ratings
· 5 viewsNotes
Transcript
Leo asabuhi tunaendelea na masomo yetu kwa kitabu cha Yohana na tumefika Yohana 3:17-18. Wiki ilioptia tulimaliza kuangalia Yohana 3:16 na tuliona hii mstari zaidi ya nusu ya watu ambao wanaishi kwa hii dunia wanajua au wamesikia hii mstari, wingi wanachafua maana yake. Ni mhumu sana wakati tunaanglia mstari kwa bibilia tuangalia muktadha yake kupata maana yake. Yohana 3 ni mlango ambaye ni muhimu sana kwa agano jipya. Kumbuka Yesu anaongea na Nikodemo, Mfarisayo ambaye ni mkuu. Ni kiongozi ya Wayahudi hata yesu alimwita Mwailmu wa Israeli. Hii msimamo ya Nikodemo ilikuwa juu sana, yeye alikuwa moja ya sabini kwa nchi nzima. Kwa Nikodemo kufika kwa Yesu haijakuwa kitu kidogo, kusema ukweli mafarisayo karibu yote walichukia Yesu sana, kwa sababu alionyesha mioyo yao kuwa maouvu. Nikodemo alikuwa tofauti, Alifika kwa yesu usiku na aliaanza kuuliza Yesu maswali. Majibu ya Yesu walishangaza Nikodemo. yesu alieleza Nikodemo kuhusu kuzaliwa mpya, Kama hawezi kuzaliwa tena bila Roho kufanya kazi ndani yake, wokovu si kwa njia ya matendo ya mtu. Nikodemo alifikiri na alifundisha watu ya kwamba njia ya kupendeza Mungu ni kuingia ufalme wake ni kwa matendo ya mtu, au kwa sababu walikuwa wayahudi walikuwa sawa, Nikodemo alifikiri kwa sababu yeye ni mtu mkubwa kwa mambo ya dini, ako sawa. Yesu kusema ukweli, Aliharibu kila kitu Nikodemo aliaamini na alisema hii kazi yote na kama Nikodeo aliamini, alfanya na alifundisha wengine ni bure kuokoa mtu. Ni njia moja tu na lazima ni ROho kufanya kazi yake ndani ya mtu. Ni neema ya Mungu si matendo ya binadamu. Halafu tunasoma Yesu kukumbusha Nikodemo ya Musa kwa kitabu cha Hesabu na kwa sababu ya dhambi ya wayahudi, Mungu alituma nyoka kuuma watu na wingi walikufa. Na Mungu alimwmabia Musa kuweka nyoka ya shaba juu ya mti na watu ambao wliangalia, waliweka macho yao juu watapona. Yesu alieleza Nikodemo hata hata ni naam na hiyo kwa watu kwa siku zetu, Yesu atawekwa juu ya msalaba na watu ambao wataweka macho yao kwake, watapona, na kupona hapa ni kumaanisha wataokoka. Kwa Yohana 3:17-19 tutaona kusudi, athari na matokeo ya Yesu kuinuliwa juu.
Tusome mistari yetu kwa muktada zao. Yohana 3:16-18 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye. Amwaminiye yeye hahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa Mungu. Hii ni neno la Mungu wetu.
Tuombe.
Tuliona Yohana 3:16 kweli ni mstari maarufu zaidi katika Bibilia lakini Yohana 3:17-18 ni mistari iliyopuuzwa, au watu wanasahau zaidi katika bibilia. Bila hizi mistari mbili watu wanachafua Yohana 3:16. Watu wanatumia vs.16 kama iko peke yake nakusema inafundisha injili bila hukumu, upendo bila utakatifu, wokovu bila matokeo, lakini Yesu hahuishia na mstari huu, aliendelea kueleza, kwake kufika inamaanisha nii, imani inatimiza nini na kwa nini kutoamini kunahukumu. Yohana 3:16 inatumabia sababu Mungu alituma mwanawe peke. Vs.17-18 zinatuambia kufika wa Yesu kinatimiza nini na matokeo ya kukataa. Hizi mistari mbili zinalazimisha sisi kujiuliza, Tufanya nini na Mwana wa Mungu.
Yohana 3:17 Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu. Watu wanajribu kutumia hii mstari kusema Yesu si Mwamuzi, lakini kusema hii ni kusahau maandiko yote. Yesu Mwenyewe anaongea wazi kuhusu hukumu. Yohana 5:22 Baba hamhukumu mtu ye yote, bali amempa Mwana hukumu yote; Yohana 9:39 Yesu akasema, Mimi nimekuja ulimwenguni humu kwa hukumu, Kwa hivyo, yesu anasema nini kwa vs.17? Hukumu haijakuwa kusudi kuu la kuja kwake mara ya kwanza. Sisi tunajua dunia ilikuwa tayari imehukumiwa. Kumbuka kama Paulo alisema Warumi 3:19b. ulimwengu wote uwe chini ya hukumu ya Mungu; na Waefeso 2:3b. tukawa kwa tabia yetu watoto wa hasira. Yesu hajakuja kuwaweka wanadamu chini ya hukumu, ilshaa kuwa hapo. Alikuja kwama Mwokozi. Hii ilikuwa rehema.
Yesu anaendelea kusema vs.17 bali ulimwengu uokolewe katika yeye. Hii ni sababu Yesu alikuja. Hajafika tu kufudisha, kuonyesha maadili mzuri lakini kuokoa. Mananeo haya ya Yesu ni kubwa sana. Kazi ya yesu si kama watu wanafundisha na kusema siku hizi, kazi ya Yesu si kuweka mtu kuwa na pesa na mali mingi, si baraka za vitu, lakini kazi ya Yesu ni kuokoa. Angalia Luka 19:10 Mwana wa Adamu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea. Waraka wa kwanza watimotheo 1:15 Ni neno la kuaminiwa, tena lastahili kukubalika kabisa, ya kwamba Kristo Yesu alikuja ulimwenguni awaokoe wenye dhambi, Ikiwa unatafuta yesu kwa sababu ingine, unatafuta Yesu ya uongo si wa kweli. Na yesu akikuokoa vitu vizuri vinaweza kufuata lakini si kama watu wanafikiri. Lakini yesu anasema kwa Yohana 3:17 uokolewe katika yeye. Ni mzuri tunashika ya kwamba wokovu haifiki kwa njia ya dini la mtu, matendo ya mtu, maadili ya mtu, uaaminifu wa mtu, ni kama Yesu alisema ni katika yeye peke. Kwa juhudi zetu zote ni muhimu sana tuelewe kitu moja, tunasoma kwa kitabu cha Matendo 4:12 hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo. Ni Yesu tu.
Yohana 3:18 Amwaminiye yeye hahukumiwi; Sasa hii ni baraka ya imani yetu. Hii si kitu cha mbele, hii ni kitu cha saa hii. Kumbuka kama Paulo aliandika kwa Warumi 8:1
